Andika Vitu Viwili Tu Usivyo Vipenda Humu Ndani.
Mimi Binafsi Sipendi Couple Ya Mahondwa Na Smart. Siwaelewi na Sitakuja Kuwaelewa.
Simpendi Vladmil Puttin Kwa Kujisifia Anatongozwa Na Wadada Wa Humu. Sijui Atakuwa Lini.
Weka Usivyo Vipenda Humu ndani.
kwakweli ilinibidi nikae Kitako kabisa...maana kuna maneno ya shombo humu..kuliko hata shombo lile LA feri..hahaaNaona umefukua kaburi ata ambao tulipitwa na ubuyu ndo tunaona
π π π mkuu umenigusa na Huyo Mane peni. Tulipigwa ban Wote Siku hyo. Yeye akija kwenye Uzi Wa Watu anapost Link ya Uzi wake.daahh kuna baadhi ya watu umewagusa but hiyo sentensi ya mwisho hapo wamsema money penny bila shaka alipigwa ban yule...kusema kweli Tania yake ile haikuwa njema
Wewe ban inakuita. Maana sikuhizi ukitaja baba au mama mods wanatega masikio kama punda π π πSoma uelewe Mada mtoa post amezungumzia kero za humu jf unaposema hupendi wanaume katika hii dunia inamaanisha hadi babako yani ndo tafsir yake
hahaaa mkuu naingojea hapa inikate kiuMkuu Endelea Kuyafukua Nakupa Na Fanta Kabisa