Andika usichokipenda humu JamiiForums

daaahh you guys mmevurugwa hahaaa
aliyekupa hilo jina hakukosea aisee
Hahahaaaa. Jna kawaida Kabisa. Sema Kuna Watu Wanaonekana Maraika Humu Kumbe Walipitishwa Ushetani before.
 
Napenda relation ya nifah na the bold(Habibu B Anga)...napenda mtu mwenye uandishi mzuri na kutupia link kwa vivid reason,,
Hapa umemgusa kabisa bold mnyama mkali
 
Hahaha putin alikuja na demu wake Cjui nani asee hata simkumbuki. Hilo povu halikuwa la nchi hii
Ahahahah sasa trump utatufurahisha lini tena maana tulifanya putin akapoa kabisa alikuwa anatupigia kelele za kupendwa humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…