Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Weee alikuwa anatufukuzaaa juzi hapa kaniambia zamu yangu maana nilikuwa nampelekesha sana zamani hadi inabidi aniunge mkono mtu kwa lazima,kaniambia nikae vizuriiihahaha.msiniambie "" kuwa mmeufufua upya huu Uzi....wapi puttin!!
Ha hahaa""Weee alikuwa anatufukuzaaa juzi hapa kaniambia zamu yangu maana nilikuwa nampelekesha sana zamani hadi inabidi aniunge mkono mtu kwa lazima,kaniambia nikae vizuriii
[emoji23][emoji23]mimi nachukia wadada wote maana hamna alie kuja hata inbox kuni salimu tu
Wewe wanayotufanyia mama Sabrina, Money penny na wengine huyaoni?Sipendi hii tabia ya baadhi ya wanaume humu kutuandikia uzi wa kutuponda tu..hivi hatuna jema hata moja?..
Tabia ya mtu kukufanya anakujuaaaa..mxiuuuuuu
Wanaume kujisifusifu kifala..aaarghhhh hata hainogi
Nayaona..ila nyinyi mmezidWewe wanayotufanyia mama Sabrina, Money penny na wengine huyaoni?
UNAEDIT TUukikosea kuandika comment huwezi ku edit
Lisemwalo lipo. Kama mnasemwa wachafu ujue wapo hao wachafu hata km cy ww.Sipendi hii tabia ya baadhi ya wanaume humu kutuandikia uzi wa kutuponda tu..hivi hatuna jema hata moja?..
Tabia ya mtu kukufanya anakujuaaaa..mxiuuuuuu
Wanaume kujisifusifu kifala..aaarghhhh hata hainogi
[emoji23][emoji23][emoji23]Nyie ndo mmezidi asee.... Tena had box zenu mmefunga
sijui niwataje?Andika Vitu Viwili Tu Usivyo Vipenda Humu Ndani.
Mimi Binafsi Sipendi Couple Ya Mahondwa Na Smart. Siwaelewi na Sitakuja Kuwaelewa.
Simpendi Vladmil Puttin Kwa Kujisifia Anatongozwa Na Wadada Wa Humu. Sijui Atakuwa Lini.
Weka Usivyo Vipenda Humu ndani.