Hapana wewe huhitaji kuumiza mdomo. Zama chumbani tuu nishajua hitaji la moyo wako.Naruhusiwa kukutongoza?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] muone kwanzaHapana wewe huhitaji kuumiza mdomo. Zama chumbani tuu nishajua hitaji la moyo wako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Njoo basi bebi. Nikupe nauli ya mkoa[emoji2][emoji1787][emoji1787][emoji1787] muone kwanza
Nauli nije huko? Aku! We ndo uje
Nikija hauta enjoy. Wewe njoo japo utapata na ya kula njiani ubane ununue peruvian sijuiNauli nije huko? Aku! We ndo uje
Peruvian? situmii hayo makitu banaNikija hauta enjoy. Wewe njoo japo utapata na ya kula njiani ubane ununue peruvian sijui
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]
Mama natural iachie misitu. Nataka uvae liwigi kama simba Bichwa liwe kubwa ndo nafurahi.Peruvian? situmii hayo makitu bana
Siwezi hayo makitu, mtu unakuwa kama jini.Mama natural iachie misitu. Nataka uvae liwigi kama simba Bichwa liwe kubwa ndo nafurahi.
Haya ukifungua pm utakuta kuna pesa yako. Changamkaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mjini kuwa jini ndio dili. Ukiweka kipara wadau wanakupita na kukuzomea kimoyo moyoSiwezi hayo makitu, mtu unakuwa kama jini.
Nifundishe unafungaje Pm???Wadada kufunga pm zao[emoji4]
Nachagua kubaki na kipara changuMjini kuwa jini ndio dili. Ukiweka kipara wadau wanakupita na kukuzomea kimoyo moyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Fungua Jf kwa kutumia browser (sio jf app) kisha nenda kwenye setting >>privacyNifundishe unafungaje Pm???
Ambao hatujaoa na hatuna hata familia tuendelee kuja?Mm sipendi Mijanaume imeoa na ina familia inakuja pm kutongozaaa wanachokitafuta watakipata.
ThanksFungua Jf kwa kutumia browser (sio jf app) kisha nenda kwenye setting >>privacy
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]