Andika wazo lolote linalokujia akilini

Andika wazo lolote linalokujia akilini

Umeamua "KUTANGAZA UMASIKINI" eenh. Utaweza kutuma na ya "KUTOLEA" au unakimbilia "NIJIBU PM".

Mpambano na mtoto mzuri kama huyo inahitaji "KUJITOA KIAKILI", mtoto anatumia Iphone 12 (Millioni Mbili Na Ushee), kodi yako ya miaka 2 na nusu hio. Wakati posho yenyewe mnapewa 3,000/= ya vifurushi pale Lumumba. Utaua mke na watoto kwa njaa we chalii.!!!
Tobaaaaa ndege kagoma kwenda bas tena
 
Back
Top Bottom