Woga tupa kulee
JF-Expert Member
- Sep 4, 2012
- 1,752
- 1,311
Siyo bure utakuwa una tatiZo.Ningeokota hela milioni kumi Leo ningemtolea mwanaume mahari anioe ; maana sio kwa visingizio hivi!!!!
Tobaaaaa ndege kagoma kwenda bas tenaUmeamua "KUTANGAZA UMASIKINI" eenh. Utaweza kutuma na ya "KUTOLEA" au unakimbilia "NIJIBU PM".
Mpambano na mtoto mzuri kama huyo inahitaji "KUJITOA KIAKILI", mtoto anatumia Iphone 12 (Millioni Mbili Na Ushee), kodi yako ya miaka 2 na nusu hio. Wakati posho yenyewe mnapewa 3,000/= ya vifurushi pale Lumumba. Utaua mke na watoto kwa njaa we chalii.!!!