Ramp Agent
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 272
- 194
Salaamu wanaJf
Matukio ya kupatwa kwa jua na mwezi yamekua yakielezewa kisayansi zaidi wataalamu wa elimu ya jiolojia (Geology)
wamekua wakitoa prove za kisayansi wakati gani na kwanini haya matukio yakitokea.
Leo nitajaribu kuhusisha andiko la biblia na tabia (character) ya kupatwa kwa mwezi na jua vinapotokeo. Binafsi sio mtaalamu wa theolojia (theology) wala jiolojia (geology).
Kwenye kitabu cha biblia Yoeli sura ya 2 mstari wa 30-31(Yoeli 2:30-31) imeandikwa
"30 Nami nitaonyesha mambo ya ajabu katika mbingu na katika dunia, damu, na motor, na minara ya moshi.
31 Jua litageuzwa kuwa giza, na mwezi kuwa damu, kabla haijaja hiyo siku ya BWANA iliyo kuu na itishayo.'
Ikumbukwe kila andiko lenye pumzi ya Mungu ya fahaa kwa mafundisho (2Timotheo 3:16)
Hapa tunaweza kujifunza kumbe tukio la kupatwa kwa jua au mwezi ni jambo la ajabu ambayo dunia imekua ikishangaa na si jambo la kisayansi pekee ata Mungu alishaviongelea.
Kama kitendo cha kupatwa kwa jua na jua kua giza
Na kupatwa kwa mwezi na mwezi kua kama damu
Na wasilisha napendelea tuchangie kwa weledi mkubwa ili tuzidi kujifunza.
Zingatia thread haifungamani na dini yoyote maana imani nyingi zimekua zikitumia biblia kama reference
Cc mshana jr DIVINE Heaven Sent