Andiko lisemalo " Kila nafsi itaonja mauti" ni swali na sio jawabu. Wachina wameanza kujibu. Babu zetu walikaribia kabisa kupata jawabu

100% exactly
Mkuu hapa hata mimi nakosa majibu.... Hawa watu(Babu zetu) waliwezaje kugundua teknolojia ya kuzuia kifo mpaka wewe mwenyewe muhusika unayekufa ukubali kufa ndio ufe.. Hii inamaanisha kuwa walikuwa wamepiga hatua kubwa sana katika fumbo la uhai na kifo.. Fumbo ambalo leo hii tumerudi mwanzo kabisa na hatuna ujanja wowote..
 
Itakuwa ngumu sana kurejesha uhai wa mtu amekufa
 
Umeikana dini ya kizungu hapa unairudia, nilijua utaendelea kudefend hoja ja uafrika ambayo hata mimi nilianza kukuelewa nayo vizuri kwa kurejea baadhi ya mambo niliyosikia toka babu zangu kadhaa in early 70s
 
Very low IQ ndio wewe, kama zamani binadamu alikuwa anaweza ishi mpaka miaka 1000, na bado afe kwa kukosa namna ya kuishi milele ije kuwa generation hii ya kuishi less than 130yrs??? Usiwe muoga wa kifo, kila nafasi itaonja umaiti, kuanzia sisimizi, tembo. nyangumi, hadi mimea na kila kilicho hai, it's a fact of life, ni ahadi isio kwepeka.

Unaweza extend life span ila haiwezi avoid death, wether you like or not. After 70yrs tu, wote humu tutakuwa hatupo duniani tena. FACT.
 
Umeikana dini ya kizungu hapa unairudia, nilijua utaendelea kudefend hoja ja uafrika ambayo hata mimi nilianza kukuelewa nayo vizuri kwa kurejea baadhi ya mambo niliyosikia toka babu zangu kadhaa in early 70s
Wapi nime I defend dini ya kizungu mkuu?
 
Nani aliishi miaka elfu moja mkuu?
 
100% correct.
 
Emperor wa china alitumia maisha yake yote akitafta kitu cha kumfanya aishi milele. Ikiwemo kutoa mabikra zaidi ya mia kama makafara. Akawa anadungwa mercury hadi ikamuua akiamini ataishi milele.
You can néver escape death when it comes for you
 
Emperor wa china alitumia maisha yake yote akitafta kitu cha kumfanya aishi milele. Ikiwemo kutoa mabikra zaidi ya mia kama makafara. Akawa anadungwa mercury hadi ikamuua akiamini ataishi milele.
You can néver escape death when it comes for you
He did a very legitimate thing kwa sababu alikuwa anatafuta jawabu la swali aliloulizwa na Mungu . He died kwa sababu hakupata jawabu sahihi ila kama angepata jawabu leo hii tungekuwa tunaongea kitu kingine.

Ni sawa na mtu alie spend miaka yake yote akijaribu kupata utajiri then akafa bila kupata utajiri. Hatuwezi kusema kuwa utajiri haupo kwa sababu mtu huyo alikufa bila kuupata licha ya kuutafuta kwa bidii maisha yake yote.

But one day Yes
 
Mkuu tuanzie hapa. Uhai ni nini? Nini kinachikufanya tuseme uko hai. Maana mtu anaweza kuwa hospitali akafa, halafu mashine zikaendelea kufanya mwili wake uendelee kufanya kazi kwa moyo kuendelea kudunda, damu kuendelea kuzunguka lakini yeye hayuko hai.
Sasa hapo uhai ni nini kama viungo vinafanya kazi lakini hauko hai.
 
 
Nachojaribu kuwaza ni, Endapo binadamu na viumbe wengine wote wakiwa hawafi ila wanazaliwa na kuongezeka kila siku,

Je Dunia itaweza ku accommodate population yote hiyo na kuweza kutosheleza mahitaji ya kila kiumbe na kila mwanadamu kwenye chakula na makazi?
 
Adam na Hawa wasingekula tunda ingekuwaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…