Andre Onana to Arsenal

Mnyuke junior

Member
Joined
Jun 1, 2021
Posts
19
Reaction score
15
Golikipa wa timu ya Ajax ya nchini Uholanzi anakaribia kujiunga na washika mitutu wa jiji la London ARSENAL.

Taarifa za kuaminika kutoka kwa mwandishi wa habari za michezo CHARLES WATTS zinasema dau la kumchukua mlinda mlango huyo zinategemea na maamuzi ya kesi yake inayomkabili ambapo kesho inasikilizwa katika mahakama za kimichezo.

 
hii timu haijui hata priority yake na sehemu zinazohitaji usajili kuliko hiyo golikipa.
 
Lenno haeleweki Arsenal, maji baridi mara maji moto hana consistency, wacha Arsenal walete kifaa kingine kimchangamshe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…