The patriot man JF-Expert Member Joined Aug 16, 2015 Posts 1,071 Reaction score 1,361 Sep 22, 2016 #1 wadau kati ya hawa wachezaji ni nani bora zaidi ya mwenzake kwa upande wangu mimi namuona XAVIER JARVIE HERNANDEZ ni bora kuliko ANDREA PIRLO wewe unamuona yupi bora kwako??
wadau kati ya hawa wachezaji ni nani bora zaidi ya mwenzake kwa upande wangu mimi namuona XAVIER JARVIE HERNANDEZ ni bora kuliko ANDREA PIRLO wewe unamuona yupi bora kwako??
S shaurimbaya JF-Expert Member Joined Oct 3, 2013 Posts 1,915 Reaction score 2,329 Sep 22, 2016 #2 babu pirlo hatari.. kuna pass zake za mwisho ni mauaji ya kimbari