Bwanga Member Joined May 26, 2010 Posts 46 Reaction score 6 Nov 2, 2010 #1 Wadau tunaomba mtupe details za mzee wa vijisenti, ana hali gani jimboni kwake??
TUKUTUKU JF-Expert Member Joined Sep 14, 2010 Posts 11,763 Reaction score 4,041 Nov 2, 2010 #2 Amekaliwa kooni na UDP!anapumulia mashine!!!
Kachanchabuseta JF-Expert Member Joined Mar 8, 2010 Posts 7,264 Reaction score 678 Nov 2, 2010 #3 wadau wansema anaelekea kuanguka lakini Chama Cha Machakajuaji (CCM) Na NATIONAL ELECTION CHAKACHUA(NEC) wameshikilia matokeo
wadau wansema anaelekea kuanguka lakini Chama Cha Machakajuaji (CCM) Na NATIONAL ELECTION CHAKACHUA(NEC) wameshikilia matokeo
fangfangjt JF-Expert Member Joined Apr 25, 2008 Posts 571 Reaction score 139 Nov 2, 2010 #4 hata akishindwa ubunge lazima ataingia bungeni.....kama mnyunyuziaji unga kwenye meza za watu! kushindana jimbo mmoja na huyu mshirikina inahutaji moyo wa ziada!
hata akishindwa ubunge lazima ataingia bungeni.....kama mnyunyuziaji unga kwenye meza za watu! kushindana jimbo mmoja na huyu mshirikina inahutaji moyo wa ziada!
TIMING JF-Expert Member Joined Apr 12, 2008 Posts 28,186 Reaction score 15,549 Nov 2, 2010 #5 Bwanga your avatar is the best... chapa lapa mkuu, mpaka bariadi tuchukue jimbo