Andrew Jack wa Star Wars amefariki dunia

Bwana ameleta, Bwana ametwaa, Jina lake lihimidiwe
 
Nilikuwa namkubali Sana huyu gwiji wa movies. Naukumbuka utunzi wake maridhawa katika movie ya KATE &LEOPOLD.
Corona sio mchezo tuchukue tahadhali
 
RIP.
Namfananisha na Donald Sutherland kiaina !!!
 
Huyu mzee kafanana na yesu, hope atafufuka siku ya tatu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…