Android application kwa ajili ya kurekodi mauzo yako (Stock manager & sales register)

akroatis

Member
Joined
Sep 18, 2017
Posts
34
Reaction score
27
Habari, nakuja tena kukutaarifu kua, application ya Stock manager & sales register imefanyiwa marekebisho ya muonekano wake, na kuwa wa mvuto zaidi. (linki ya application kwenye playstore)

Lengu kuu la hii application ni kumsaidia mfanya biashara mdogo kuwa na uwezo wa kurekori, na kupata ripoti za biashara yake ya kila siku. Hii application inatumika kwenye simu ya android hata yenye uwezo wa chini zaidi (kuanzia android version 5 kuja juu). Na japokuwa application itahitaji internet, sio lazima muda wote uwe na internet, application itafanya kazi ata ukiwa offline.

Mara ya kwanza kuiweka hapa hii application, baadhi ya watu walipata shida kidogo jinsi ya kuitumia, sasa nimeandaa ukurasa maarumu kwa ajili ya maelezo mafupi jinsi ya kuitumia, tembelea huu ukurasa kusoma maelezo yake. Na kama bado unashida jinsi ya kutumia, usisite kuwasiliana nami.

Kwa mara nyingine, asanteni kwa mchango na ushirikiano mliouonesha. Asanteni sana.
 
Picha
 
Melezo ya application nimeyaweka kwa kiswahili, maelezo kwa sasa yanaelezea:
  1. Kusajiri bidhaa (item register)
  2. Kuongeza idadi ya bidhaa husika (restock)
  3. Kufanya mauzo kwa wateja wako (sells)
  4. kuangalia repoti za biashara
Kama una ushauri wa maelezo mengine ya kuongeza, usisite kuyataja.

Na kwa ambao wanahitaji kuona baadhi ya picha za updates mpya, hizi hapa
 

Attachments

  • Screenshot_20230701-115119.jpg
    38.8 KB · Views: 15
  • Screenshot_20230701-115132.jpg
    29.7 KB · Views: 14
  • Screenshot_20230701-115300.jpg
    55.2 KB · Views: 13
  • Screenshot_20230701-115314.jpg
    20.3 KB · Views: 12
  • Screenshot_20230701-115749.jpg
    51.5 KB · Views: 9
  • Screenshot_20230701-115811.jpg
    40.8 KB · Views: 7
  • Screenshot_20230701-115843.jpg
    39.1 KB · Views: 7
  • Screenshot_20230701-120017.jpg
    49 KB · Views: 8
  • Screenshot_20230701-120103.jpg
    49.7 KB · Views: 9
  • Screenshot_20230701-120122.jpg
    41.8 KB · Views: 9
  • Screenshot_20230701-120144.jpg
    40.9 KB · Views: 10
  • Screenshot_20230701-120217.jpg
    39.8 KB · Views: 9
  • Screenshot_20230701-120225.jpg
    38.6 KB · Views: 7
  • Screenshot_20230701-151421.jpg
    54 KB · Views: 7
  • Screenshot_20230701-151447.jpg
    43.5 KB · Views: 9
  • Screenshot_20230701-151627.jpg
    59.4 KB · Views: 9
  • Screenshot_20230701-151642.jpg
    47.3 KB · Views: 8
  • Screenshot_20230701-151710.jpg
    54 KB · Views: 10
  • Screenshot_20230701-151731.jpg
    46.6 KB · Views: 8
  • Screenshot_20230701-151759.jpg
    34.3 KB · Views: 6
  • Screenshot_20230701-151803.jpg
    47.2 KB · Views: 9
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…