Android bao game (maboresho)

Yphware

New Member
Joined
Mar 11, 2021
Posts
1
Reaction score
2
Kuna marekebisho mengi katika hii app (BaoTz v2.0.0) katika toleo hili.

Sasa lina level 4 ambapo unacheza mchezo wa bao la kete kwenye simu yako offline, mwanzo lilikuwa na level 3.

Hata hivyo linahitaji zaidi maboresho hasa kwa upande wa AI (Artificial Intelligence) kama mnavyojua positions mbambali katika bao ukizichanganua zinafika zaidi ya billions (wale wazee wa permutation na combination watakuwa wameelewa) so kunahitajika complex algorithms na evaluation functions kuchanganua ili kutengeneza AI iliyo bora.

So kwa sasa katika jitihada zangu za kuuweka mchezo wa bao kuwa wa kidigitali nimefikia hapo ila of course bado untaenjoy.

Hili game ni katika Research yangu binafsi ya AI (Artificial Intelligence) but naweka hapa ili anayeweza mchezo huu adownload app kutoka Playstore acheze, ni free na offline ukizingatia ni mchezo ambao wengi wanaanza kuusahau so najaribu kuuweka tuendenao kidigitali.

Linasapport kuanzia Android 4.1 (so karibu kila simu kwa sasa) na ni faili la 260+ KB tu

Kudownload nenda Playstore kisha search "baotz" then install

Pia kama kuna mwenye maoni/swali au ushauri pia tupo pamoja.




Jinsi ya kutumia BaoTz app, download/soma PDF hili katika lugha ya Kiswahili.
UPDATE: New update version 2.2.0 released.
 

Attachments

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…