Apps.za kutumia kwenye simu yako au ya mwingine mwenye android inakua developed kulingana na unavyohitaji kama ni kujitangaza ama kutambulisha biashara yako na vitu vyako...Hii ndo inakuaje mkuu?
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Apps.za kutumia kwenye simu yako au ya mwingine mwenye android inakua developed kulingana na unavyohitaji kama ni kujitangaza ama kutambulisha biashara yako na vitu vyako...
Android application development kwa yeyote mwenye uhitaji wa kutengenezewa application ya android kwa matumizi ya kiofisi,binafsi and other uses anaweza kuwasiliana nami nkamfanyia mpango,pia application za window kwa matumizi uyatakayo na pia themes zako mwenyewe za android ambayo utaweka lolote utakalo pia zinakua developed so please kwa muhitaji ncheki then tutafanya negotiation.....out!!!!