T Tauc George Member Joined Nov 3, 2017 Posts 34 Reaction score 14 Jan 17, 2019 #1 Habari...Kuna Ukweli Juu Ya Kuweza Kutumia Android Apps Katika Ios Yaani Iphone,Ipod,Ipad Devices??Na Kama Ni Kweli....Nani Anazijua Hizo(Tricks)[emoji2]?
Habari...Kuna Ukweli Juu Ya Kuweza Kutumia Android Apps Katika Ios Yaani Iphone,Ipod,Ipad Devices??Na Kama Ni Kweli....Nani Anazijua Hizo(Tricks)[emoji2]?
white hat JF-Expert Member Joined Dec 16, 2016 Posts 3,321 Reaction score 2,488 Jan 18, 2019 #2 nachojua haiwezekani kutumia android app (apk) kwenye ios labda hiyo emulator kwangu itakuwa mpya