Superpower
JF-Expert Member
- Oct 11, 2018
- 826
- 920
Asante mkuu ko huwezi pata iliyo unganishwa na screen na ikaja na Android toka kiwandani.1. Laptop yoyote ama desktop yoyote unaweza fanya ikawa na android
2. Tv box ndo hizo kama desktop za Android. Mjini hapo ukitafuta za Kichina around 60k mpaka 80k na nzuri kuanzia 120k.
Hakuna zaidi ya wachina, na kwanini uhangaike hivyo upigwe kifaa chenye specs za kizamani?Asante mkuu ko huwezi pata iliyo unganishwa na screen na ikaja na Android toka kiwandani.
eeehe sasa hapa inabidi nipate uwelewa kwa sababu ninaweza ku afford laptop mtumba sasa na hofia laptop kushindwa kurun stable release ya baadhi ya software maana tumezoea kuwa kwenye simu specs zikipitwa na wakati huwa tunashindwa ku install baadhi ya appHakuna zaidi ya wachina, na kwanini uhangaike hivyo upigwe kifaa chenye specs za kizamani?
Nunua laptop mtumba weka android, ama kama Una laptop tayari dual boot windows na android.
laptop yoyote ya core i series itarun android yoyote ya kisasa unayotaka wewe,eeehe sasa hapa inabidi nipate uwelewa kwa sababu ninaweza ku afford laptop mtumba sasa na hofia laptop kushindwa kurun stable release ya baadhi ya software maana tumezoea kuwa kwenye simu specs zikipitwa na wakati huwa tunashindwa ku install baadhi ya app
na vipi kuhusu software za window zitarun poa maana tulisha nunua Dell latitude core i5 ikiwa inazingua kurun inkscape ilikua inasema graphacs hazipolaptop yoyote ya core i series itarun android yoyote ya kisasa unayotaka wewe,
na laptop utaweza ongeza storage na ram mwenyewe, kwa kadri matumizi yako yalivyo, kifupi laptop ya bei rahisi itakupa perfomance nzuri kushinda simu yoyote ya laki 5 kushuka.
Hakuna laptop inayo run software zote za windows, we Angalia specs za laptop linganisha na mahitaji yako. Na core i5 zote zina run inkscape unless huku weka graphics drivers.na vipi kuhusu software za window zitarun poa maana tulisha nunua Dell latitude core i5 ikiwa inazingua kurun inkscape ilikua inasema graphacs hazipo
Asante Sana mkuu na kuweka drivers unawekaje?Hakuna laptop inayo run software zote za windows, we Angalia specs za laptop linganisha na mahitaji yako. Na core i5 zote zina run inkscape unless huku weka graphics drivers.
Kama ni ya graphics unadownload tu website ya intel ama ya manufacture.Asante Sana mkuu na kuweka drivers unawekaje?
Njia rahisi kupata graphics drivers ni kuangalia jina la processor yako. Let's say "Intel Core i3 3220" then ingia downloadcenter.intel.com then search jina la processor. Kwenye results utaletewa graphics driver. Angalia latest kwenye tarehe then download katika format ya compressed ".zip" au executable ".exe" file.Asante Sana mkuu na kuweka drivers unawekaje?
Asante Sana mkuu na hiyo core i3 inauwezo kurun stable release version ya software zifwatazo blender, inkscape, illustrator hata ya 2019, na ms office 2019Njia rahisi kupata graphics drivers ni kuangalia jina la processor yako. Let's say "Intel Core i3 3220" then ingia downloadcenter.intel.com then search jina la processor. Kwenye results utaletewa graphics driver. Angalia latest kwenye tarehe then download katika format ya compressed ".zip" au executable ".exe" file.
Yes ipo vizuri sana. Na uzuri ni kwamba inasupport up to 32gigs RAM. Kwa processor hiyo unaweza kufanya multitasking na programs ambazo ni intensive kwenye matumizi ya hardware kama photoshop, Fl studio n.k ukiwa na kuanzia 8gigs of RAM.Asante Sana mkuu na hiyo core i3 inauwezo kurun stable release version ya software zifwatazo blender, inkscape, illustrator hata ya 2019, na ms office 2019
mkuu naomba nikusumbue kidogo unaposema ni weke Android unamaanisha ni install Android stimulator Kama vile bluestack na hiyo dual boot inakuaje.Hakuna zaidi ya wachina, na kwanini uhangaike hivyo upigwe kifaa chenye specs za kizamani?
Nunua laptop mtumba weka android, ama kama Una laptop tayari dual boot windows na android.
Sio simulator, inakuwa android native Una install kama windows, inakuwa na user interface kama windows pia. Hakuna cha muhimu utakachofanya android na laptop, vyema u dual boot, kuliko kununua ukaja ukajuta baadae.mkuu naomba nikusumbue kidogo unaposema ni weke Android unamaanisha ni install Android stimulator Kama vile bluestack na hiyo dual boot inakuaje.
mkuu nimeelewa ku dual boot ni Kama unaziweka os nyingi kwenye PC moja hafu then unaanza na window Kwanza sasa je ni Ram kuanzia ngapi? Na una pata Android mpya kabisaSio simulator, inakuwa android native Una install kama windows, inakuwa na user interface kama windows pia. Hakuna cha muhimu utakachofanya android na laptop, vyema u dual boot, kuliko kununua ukaja ukajuta baadae.
Google Android x86 kupata maelezo zaidi.
Uzuri wa dual boot unarun os moja baada ya nyengine, mfano Phoenix os (android) minimum requirements ni 1gb ram tu, hivyo laptop ya core 2 duo yenye 2gb ram ina run bila matatizo.mkuu nimeelewa ku dual boot ni Kama unaziweka os nyingi kwenye PC moja hafu then unaanza na window Kwanza sasa je ni Ram kuanzia ngapi? Na una pata Android mpya kabisa
Asante Sana mkuu sikuwa nikilifahumi hii mm nilijua bluestack ndo mwisho wa reli nilitembele wikihow niangalie niwezaje kufanikisha nikaishia kujua tu bluestack na sikuweza kutumia kwenye Lenovo IdeaPad ya 2gb ilikua inasumbua Sana nikaona Kama kitu hichi hakiwezekani kabisaUzuri wa dual boot unarun os moja baada ya nyengine, mfano Phoenix os (android) minimum requirements ni 1gb ram tu, hivyo laptop ya core 2 duo yenye 2gb ram ina run bila matatizo.
Na dual boot kunakuwa na bootloader ukiwasha computer ina kuuliza unataka kuwasha windows ama android?
Phoenix os utazipata hapa, za zamani kidogo kuna android 7 na 5, sema ni nyepesiAsante Sana mkuu sikuwa nikilifahumi hii mm nilijua bluestack ndo mwisho wa reli nilitembele wikihow niangalie niwezaje kufanikisha nikaishia kujua tu bluestack na sikuweza kutumia kwenye Lenovo IdeaPad ya 2gb ilikua inasumbua Sana nikaona Kama kitu hichi hakiwezekani kabisa