jikuTech
Senior Member
- Apr 9, 2023
- 108
- 159
SOMO LETU LA LEO LINA TOKA KWENYE KITABU CHANGU CHA ANDROID NETWORKING
Lengo la kitabu hiki ambacho ni
maalumu ni kujifunza kwa namna gani
unaweza kuweka taarifa kwenye web
server database kwa kutumia Android
Studio na kuzi view kwenye mobile
app .
Faida ya Application hii ni kwamba mtu
unatengeneza Server kwa ajili ya
kuhifadhi taarifa zako ambazo aidha
yanaweza kuwa maelezo au picha au
audio au videos na ukazionesha kwa
kutumia mobile app uliyo tengeneza
mwenyewe
Kila mwenye APP yako anakuwa na
uwezo wa kuona taarifa alizo weka
admin
Tutatumia Server ya Bure inayo
000webhostapp.com kwa ajili ya kuhifadhi taarifa zetu na kuzichukua
huko kuzionesha katika project yetu
Tutatumia
Recycle view kuonesha taarifa zote
zilizopo katika server yetu hii
tutaitumia ndani ya android
Nitachukulia mfano kwamba nna
wanafunzi kumbuka kila mwanafunzi
ana
Jina
Namba ya Simu
Mkoa anao ishi
Na taarifa zingine nyingi mno ambapo
tutatumia hizo taarifa kwa kila
mwanafunzi
Tutakuwa na wanafunzi 20 katika
server yetu, tuta chukua taarifa zao na
kuzionesha kwenye Android App Yetu .
tunawezaje kuzionesha hizi taarifa za
kila mmoja kwa pamoja basi ndio hapo tunatumia Recycle View Ambayo ni
Difined Class
Lakini sasa ili utumie Recycle View
itatubidi tuwe na zana mbalimbali
kamaifuatavyo,
Tutakuwa na zana yetu ya kwaza
ambayo itafanya kazi ya kuongoza
taarifa huitwa Model hupokea taarifa
kutoka kwenye server na kutoa ruksa ya
kutumika sehemu yoyote katika
projects yako.
ITAENDELEA
Kama hauelewi kinacho endelea fuatilia masomo yaliyo pita kwenye YouTube yangu.
Lengo la kitabu hiki ambacho ni
maalumu ni kujifunza kwa namna gani
unaweza kuweka taarifa kwenye web
server database kwa kutumia Android
Studio na kuzi view kwenye mobile
app .
Faida ya Application hii ni kwamba mtu
unatengeneza Server kwa ajili ya
kuhifadhi taarifa zako ambazo aidha
yanaweza kuwa maelezo au picha au
audio au videos na ukazionesha kwa
kutumia mobile app uliyo tengeneza
mwenyewe
Kila mwenye APP yako anakuwa na
uwezo wa kuona taarifa alizo weka
admin
Tutatumia Server ya Bure inayo
000webhostapp.com kwa ajili ya kuhifadhi taarifa zetu na kuzichukua
huko kuzionesha katika project yetu
Tutatumia
Recycle view kuonesha taarifa zote
zilizopo katika server yetu hii
tutaitumia ndani ya android
Nitachukulia mfano kwamba nna
wanafunzi kumbuka kila mwanafunzi
ana
Jina
Namba ya Simu
Mkoa anao ishi
Na taarifa zingine nyingi mno ambapo
tutatumia hizo taarifa kwa kila
mwanafunzi
Tutakuwa na wanafunzi 20 katika
server yetu, tuta chukua taarifa zao na
kuzionesha kwenye Android App Yetu .
tunawezaje kuzionesha hizi taarifa za
kila mmoja kwa pamoja basi ndio hapo tunatumia Recycle View Ambayo ni
Difined Class
Lakini sasa ili utumie Recycle View
itatubidi tuwe na zana mbalimbali
kamaifuatavyo,
Tutakuwa na zana yetu ya kwaza
ambayo itafanya kazi ya kuongoza
taarifa huitwa Model hupokea taarifa
kutoka kwenye server na kutoa ruksa ya
kutumika sehemu yoyote katika
projects yako.
ITAENDELEA
Kama hauelewi kinacho endelea fuatilia masomo yaliyo pita kwenye YouTube yangu.