RIP Ambasador Andy.Huyu nilikuwa namfanansisha na yule nguli wa Base gitaa Nguma Lokito wa Jamhuri ya Congo.Kuna baadhi ya nyimba base gitta la Ambasador Andy lilisikaka vyema eg Maumivu makali na Yaliyopita si Ndwele.
Ambassodor Andy wasalimie Asia Darwesh,Rahma Shally na Joseph Mulenga.
Haujakosea mkuu wangu....Huyu bwana hakika ndo alikuwa Ngouma Lokito wa Tanzania,jamaa alikuwa mtaalamu kweli kwenye gitaa la besi......Binafsi sikuona kama alikuwa na mpinzani katika hilo gitaa zito kwa wanamuziki wa enzi zake,labda kwa mbali Bakari 'Beka' Semhando na Joseph Watuguru ndo walikuwa wanamkaribia.......Ndo hivyo tena,kizuri hakidumu....RIP Ambasador Andy.Huyu nilikuwa namfanansisha na yule nguli wa Base gitaa Nguma Lokito wa Jamhuri ya Congo.Kuna baadhi ya nyimba base gitta la Ambasador Andy lilisikaka vyema eg Maumivu makali na Yaliyopita si Ndwele.
Ambassodor Andy wasalimie Asia Darwesh,Rahma Shally na Joseph Mulenga.