mohammad_othar
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 247
- 42
Kama kuna mtu hana net au matatizo ya mtandao na yupo mbali na anataka kuapply basi nitumie msg account details zako yaani namba ya mtihani na password na code namba ya course unayotaka au jina la course nitakufanyia hiyo ishu bila shida ... nawasilisha