mohammad_othar
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 247
- 42
Je,kuna jamaa yangu alijaza open university kimakosa,lakini yeye ni second round,vip apo anaweza pata msaada mkuu?:kev:
mkuu course zote? ama?...
Kaka tufahamishe, je vp kuhusu mitihani ya watu wazima (more than 25yrs)nimesahau inaitwaje tena..kindly assist on that!!
,mimi je nikitaka kuapply tena, japo sikutemwa katika round yoyote?? INAWEZEKANA?
jaza tena kama ujapangiwa teku
mr.cONFIDENT we jiamini tu sababu hata iyo cozy waliyo/watakayo kupangia uliijaza mwenyewe...by the way kwa wale ambao hawajatemwa tayari wameshapangiwa vyuo so ni ngumu sana kubadili kiholela-holela...kama unania thabiti ya kubadili jaribu kufuata utaratibu stahiki uliowekwa na tcu....my thoughts,mimi je nikitaka kuapply tena, japo sikutemwa katika round yoyote?? INAWEZEKANA?