Anga la Tanzania ya Samia linazidi kufunguka. Bado mikoa 7 tu kupata Uwanja wa Kisasa wa Ndege

Hawa TZ Gen-Z hawajui kitu.
Wewe na huyo mwenzio ndio hamjui kitu,nimeweka details za mipango ya ujenzi wa uwanja Morogoro.

Nyie ndio wale wajinga walikuwaga wanasema Mbeya hamuwezi jengwa magorofa marefu eti Kuna tetemeko,as we speak Yako zaidi ya 6 ya 10gloors.

Ujinga huo huo ndio mnaongelea kuhusu Kambi za Jeshi na uwanja hapo Morogoro,typical nonsense
 
Tanzania Kuna viwanja 2 tu vya ndege vya Kimataifa na kisiwani kiwanja 1 sasa hivyo unanavyosema wewe ni vya kutua ungo au...
 
Hiyo mikoa saba iliyobaki ni ipi na kuchagua waanze ipi na waache ipi wametumia vigezo gani?
 
Hiyo mikoa saba iliyobaki ni ipi na kuchagua waanze ipi na waache ipi wametumia vigezo gani?
Kaulize Wizara ya uchukuzi na ujenzi utapata.

Njombe
Simiyu
Songwe
Tanga
Pwani
Manyara
Singida

My Take: Njombe,Tanga na Manyara hatua za usanifu zinaendelea.
 
Ni saidieni kitu,kuelekea mbinguni au motoni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…