ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
-
- #321
Itapendeza sanaMpaka ukerewe kutakuwa na airport.
Asante Kwa kuehiriki kutoa maoni ππππMiye cost of operating zs viwanja ni kubwa sana.wangejenga kwenye miji mikuwa tuuu.
Sijawahi ila Jikite kwenye hoja Wacha ujingaUmesha wahi hata kupanda ndege ?
Au ni ligi ya mkoa wetu una kiwanja cha ndege
πππππππΉπΏWewe ndio una roho mbaya na una wivu. Huyo mjomba wako tumpe maua gani Sasa? Hayo yote niliyokueleza hapo ni Samia anafanya sijui wewe huyo mjomba wako alifanya yapi.