Watagutuka tu wala usihofuJaman hiyo gari bora wasingepanda
MmhWatagutuka tu wala usihofu
Mi Nina imani sana na Miranda najua atajua tu na wata solve hapoJaman hiyo gari bora wasingepanda
Angalia hyo roho isije nyofoka tu[emoji23] [emoji23]Roho inapwilipwita kama inataka itoke
Nilitamani Miranda awakute awapige waludi kwa sheng hawana mbavu wote...duu Sasa washapanda gari masikini jona wetu na marwa mnyonge hata hajui kujiteteAngalia hyo roho isije nyofoka tu[emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Roho inapwilipwita kama inataka itoke
Ngoja tuoneMi Nina imani sana na Miranda najua atajua tu na wata solve hapo
Hiyo gari wala isikuumize kichwa,ni ya wizi wataiacha sehemu wasepe zao na rangeJaman hiyo gari bora wasingepanda
KweliiiHiyo gari wala isikuumize kichwa,ni ya wizi wataiacha sehemu wasepe zao na range
Kweliii