Angalia Faza Anavyo Bariki Waumini!

Angalia Faza Anavyo Bariki Waumini!

Wewe umejuaje kwamba ni faza? Faza ni nani kwanza?

Umejuaje kama anabariki? Na kwamba hao ni waumini? Waumini wa nini kwanza?

Weka link hapa tuone ndipo tuseme.
 
Wewe umejuaje kwamba ni faza? Faza ni nani kwanza?

Umejuaje kama anabariki? Na kwamba hao ni waumini? Waumini wa nini kwanza?

Weka link hapa tuone ndipo tuseme.
Inawezekana kanisani hujaingia miaka mingi! Kama ata faza hujui ni nini..daah!
 
Inawezekana kanisani hujaingia miaka mingi! Kama ata faza hujui ni nini..daah!
Nilitegemea utaelezea faza ni kitu gani. Au na wewe hujui mkuu? Hii forum ya kuelekezana. Wewe unayejua, uanmweleza asiyejua kama mimi faza ni kitu gani!
 
Back
Top Bottom