M Masanja Kigoma Member Joined Mar 1, 2016 Posts 9 Reaction score 4 Apr 29, 2016 #1 Huyu faza noma. Angalia anvyowapiga vibao watot0 kanisani. Kweli huu ni ungwana? Bifya hapa Angalia Faza Anavyo Bariki Waumini! - Vyro Newz
Huyu faza noma. Angalia anvyowapiga vibao watot0 kanisani. Kweli huu ni ungwana? Bifya hapa Angalia Faza Anavyo Bariki Waumini! - Vyro Newz
C Criterion JF-Expert Member Joined Jan 8, 2008 Posts 11,797 Reaction score 11,891 Apr 29, 2016 #2 Wewe umejuaje kwamba ni faza? Faza ni nani kwanza? Umejuaje kama anabariki? Na kwamba hao ni waumini? Waumini wa nini kwanza? Weka link hapa tuone ndipo tuseme.
Wewe umejuaje kwamba ni faza? Faza ni nani kwanza? Umejuaje kama anabariki? Na kwamba hao ni waumini? Waumini wa nini kwanza? Weka link hapa tuone ndipo tuseme.
Szczesny JF-Expert Member Joined Apr 15, 2016 Posts 7,180 Reaction score 25,923 Apr 29, 2016 #3 Hahaha Kuna sehem katoto kame anguka aka sindikiza na teke Cjui alikunywa!!!
M Masanja Kigoma Member Joined Mar 1, 2016 Posts 9 Reaction score 4 Apr 30, 2016 Thread starter #4 Tabby said: Wewe umejuaje kwamba ni faza? Faza ni nani kwanza? Umejuaje kama anabariki? Na kwamba hao ni waumini? Waumini wa nini kwanza? Weka link hapa tuone ndipo tuseme. Click to expand... Inawezekana kanisani hujaingia miaka mingi! Kama ata faza hujui ni nini..daah!
Tabby said: Wewe umejuaje kwamba ni faza? Faza ni nani kwanza? Umejuaje kama anabariki? Na kwamba hao ni waumini? Waumini wa nini kwanza? Weka link hapa tuone ndipo tuseme. Click to expand... Inawezekana kanisani hujaingia miaka mingi! Kama ata faza hujui ni nini..daah!
C Criterion JF-Expert Member Joined Jan 8, 2008 Posts 11,797 Reaction score 11,891 Apr 30, 2016 #5 Masanja Kigoma said: Inawezekana kanisani hujaingia miaka mingi! Kama ata faza hujui ni nini..daah! Click to expand... Nilitegemea utaelezea faza ni kitu gani. Au na wewe hujui mkuu? Hii forum ya kuelekezana. Wewe unayejua, uanmweleza asiyejua kama mimi faza ni kitu gani!
Masanja Kigoma said: Inawezekana kanisani hujaingia miaka mingi! Kama ata faza hujui ni nini..daah! Click to expand... Nilitegemea utaelezea faza ni kitu gani. Au na wewe hujui mkuu? Hii forum ya kuelekezana. Wewe unayejua, uanmweleza asiyejua kama mimi faza ni kitu gani!