Angalia Gangs of London series iliyochangamka

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Ukiacha TV series mbalimbali za ki Gangs kwa mwaka huu hii ndo Kiboko. GANGS OF LONDON. hii nmeikubali sana.

Kama unapata muda ukishapita kura yako huko Tz. Rudi home kaangalie. Au kama umeamua kulinda linda kura yako huku una check hii Series. Utaenjoy sana.
 
Kweli nimeichek iko poa kwa wale walio interested nayo.
 
Ukiacha TV series mbalimbali za ki Gangs kwa mwaka huu hii ndo Kiboko. GANGS OF LONDON. hii nmeikubali sana.

Kama unapata muda ukishapita kura yako huko Tz. Rudi home kaangalie. Au kama umeamua kulinda linda kura yako huku una check hii Series. Utaenjoy sana.
iko wapi?
 
[emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547]

Wamepita mule mule ninapopataka.

Huwa napenda kuangalia movie/series ambacho kila nacho predict kiwe tofauti.

Nakuwa sielewi wapi naelekea.

Mosi nilielewa sana harakati zake. (Nigerian)
Nitarudi kuleta mrejesho.
 
Episode 9 imeniacha na wimbo wangu pendwa wa abide with me
Kwa kweli hii serie ni tamu aliye i recommend heko sana kwake
 
Back
Top Bottom