Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Kweli nimeichek iko poa kwa wale walio interested nayo.Ukiacha TV series mbalimbali za ki Gangs kwa mwaka huu hii ndo Kiboko. GANGS OF LONDON. hii nmeikubali sana.
Kama unapata muda ukishapita kura yako huko Tz. Rudi home kaangalie. Au kama umeamua kulinda linda kura yako huku una check hii Series. Utaenjoy sana.
iko wapi?Ukiacha TV series mbalimbali za ki Gangs kwa mwaka huu hii ndo Kiboko. GANGS OF LONDON. hii nmeikubali sana.
Kama unapata muda ukishapita kura yako huko Tz. Rudi home kaangalie. Au kama umeamua kulinda linda kura yako huku una check hii Series. Utaenjoy sana.
Franky Samuel Inahusiana na Nini?
Zero zero zero ni moto balaa gangs of london haifui dafu
Uuzwaji wa madawa ya kulevya pamoja na magenge yanayojihusisha na hizo biasharaFranky Samuel Inahusiana na Nini?
clem sayi Uzuri wake upo wapi?Uuzwaji wa madawa ya kulevya pamoja na magenge yanayojihusisha na hizo biashara
Season 2 haijatoka nduguGang of London iko poa Sanaa,kesho Ni mwendo wa kuangalia season 2
Nitarudi kuleta mrejesho.
Gangz of London sawa ila hii zero zero cjaipata Bado labla nipeni mrejesho vizur