Angalia hapa Majina ya waliochaguliwa kujiunga VETA 2023

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826

Vyuo vya Mafunzo ya Ufundi Stadi nchini (VETA) vimetoa orodha ya majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na mafunzo ya ufundi stadi kwa mwaka 2023.

BONYEZA HAPA: Kuangalia majina ya waliochaguliwa kujiunga VETA mwaka wa 2023

Orodha hiyo imetolewa leo Jumanne Desemba 20, 2022 ambayo ni ya waliochaguliwa kujiunga na mafunzo ya ufundi stadi katika vyuo vinavyomilikiwa na VETA kwa mwaka wa 2023
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…