Angalia hapa matokeo kidato cha nne 2010 - tanzania

Asante Kisendi; toka jana najaribu kufuatilia matokeo ya ndugu yangu lakini website ya NECTA naona imeelemewa, lakini hata hii link uliyotoa bado insumbua. Kuna yeyote ambae amebahatika kuwa na results katika format ya Excel or pdf.

Hatimaye nimefanikiwa, asante sana.
 
Kwa kweli inasumbua haifunguki toka asubuhi nafanya kazi hiyo tu
 
nimetafuta shule for the last one hour sijaiona... hivi hakuna hata uwezekano wa kuweka option ya search jamani??

Basi wawape kazi JF wawatengenezee program nzuri yani hii haijakaa user friendly kabisa:A S thumbs_down:
 
Tumia 'Ctrl+ F' halafu ingiza jina la shule.

Should work for PC.
 
Ubarikiwe sana mkuu nimeona matokeo ya mwanangu ana div 2. Thank you
 
Mkuu nimetumia iyo altenative nimefanikiwa angalau madogo watapata relief ya kujua kwa undani matokeo maana iyo ya necta jana ilikuwa ICU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…