Angalia hapa mwaka wako wakuzaliwa na mwaka wako wa kustaafu na umebakiza miaka mingapi ustaafu

Ukiuona huo mkeka unaweza hisi miaka 20 au 30 ni mingi sana. Ila ipo haja tuanze kujitafakari kwenye hizi ajira zetu aseeh
 
nililaani sana kazi ya kuajiriwa..... unatumika unatupwa na bado unahesabiwa unaondoka lini😂😂😂😂😂 ndio maana wengi wao maendeleo ni ziro.... elewa neno maendeleo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…