Angalia hapa:Watanzania tunamuabisha Samatta na kuiaibisha nchi

Wabongo hao wangapi si mmoja tu! Halafu hata kuandika hivyo, ni kawaida kwenye page tofauti tofauti watu wanaonesha mapenzi kwa watu wao!
Ni kweli hajajibu swali, ila kaonesha katika hao yeye mapenzi yake yapo kwa samatta, na jin

Ishu ndogo km hii ndio umekurupukia kuanzisha uzi[emoji13][emoji23][emoji1787]
 
hili ni suala la mtazamo. ungemuuliza kwanza ana maanisha nini ndo uje kubinuka humu.

Lowasa aliposema kipaumbele chake ni 1.Elimu 2. Elimu 3. Elimu,alimaanisha nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…