toroka uje mjini
JF-Expert Member
- Mar 29, 2017
- 1,584
- 2,111
Nakukumbusha; Haya mambo hayana formulae
Inaonekana jina lako limeangukia pabaya Mkuu[emoji3]
Hamna comrade hahaaaInaonekana jina lako limeangukia pabaya Mkuu[emoji3]
Ucenge. Cuma mama aco.
Mi Z Mtu wa dini sana&S nikipenda nimependa kweli haha haujakosea mkuu mulemuleA- muhongaji
B- tapeli + mshirikina
C- mcheshi
D- fithadi
E- mzushi
F- mpenda ngono
G- mjinga
H- mpendwa na wengi
I- mjuzi + mbunifu
J- muhuni
K- wivu mwingi
L- maneno mengi
M- mtu ano mahaba
N- kicheche
O-mtulivu
P- mchafu
Q-hatawahi kupenda
R- mcha mungu
S- akipenda amependa kweli
T- mtulivu
U- hodali
V- msaliti
W- mnunaji kila saa
X- hajuwi kukataliwa
Y- mpole
Z- mtu w dini sana,
Haya sasa ww ni mtu wa aina gani??
Kazi Kwenu
Mkuu naomba ni PM Nakutafuta sana plzA- muhongaji
B- tapeli + mshirikina
C- mcheshi
D- fithadi
E- mzushi
F- mpenda ngono
G- mjinga
H- mpendwa na wengi
I- mjuzi + mbunifu
J- muhuni
K- wivu mwingi
L- maneno mengi
M- mtu ano mahaba
N- kicheche
O-mtulivu
P- mchafu
Q-hatawahi kupenda
R- mcha mungu
S- akipenda amependa kweli
T- mtulivu
U- hodali
V- msaliti
W- mnunaji kila saa
X- hajuwi kukataliwa
Y- mpole
Z- mtu w dini sana,
Haya sasa ww ni mtu wa aina gani??
Kazi Kwenu