nakuomba mwanaharakati mwenzetu ( Rutashubanyuma ) utumie kidogo lugha nyepesi inayogusika na wengi
ili ujumbe na ukereketwa wako kuelekea kuisadia CHADEMA ueleweke kiurahisi.
tumia kiswahili,kigogo au hata kikurya n.k watakupata wengi kwani zimebaki siku
chache na wewe naona juhudi zako ktk kuwasilisha mada kwa walengwa iko juu.