Simaanishi hivyo ndo mana nikauliza kama nimemix sikuelewa. Nilichoelewa ni kuwa hizi pics zinamwonyesha Obama na mkewe na mtoa mada akasema na viongozi wetu wawe hivi nikaelewa kuwa rais anatakiwa kumpublicise mkewe na kusafiri naye kila aendako na mkewe huyo awe anatambulika na watu wote. Of which hata Kikwete anafanya. Asa hayo ya nyumba ndogo sikuwa nimeyafikiria kwa kuwa hayajakuwa potrayed kwenye picha hizo (in short that is the message that I got after looking at the pic)
But hey as far as Obama is concerned......can we speak on his behalf? Inawezekana akawa nao maana mbona Clinton pamoja na kumtambulisha Hillary dunia nzima na kwenda naye kila kona bado kina Lewinsky walikuwepo?