Angalia hii

Angalia hii

Chiteteh

Member
Joined
Feb 17, 2013
Posts
22
Reaction score
3
Naomba msaada wenu wana jf mm ni mwanafunz nilikubwa na hli janga la matokeo mabovu ya csee nimepata dv 4-29 nina d-6 na f moja cjui nifanyeje wana jf naomba msaada plz!!!
 
Dah kwa matokeo hayo umefaulu big up mana mwaka huu matokeo ya frm 4 umekaza ila nakujuza kapige crtfct chuo chchte mana marks zko znakuruhusu ku apply chuo ila 2 hakna kitu ambacho hakiwezekn kz 2 mdogo wngu!!!
 
kama una D ya physics,chemistry,biology,english na maths apply kusoma certificate in clinical medicine.angalia tangazo kwenye website ya wizara ya afya.
 
Bt bra mi nina d za masomo ya arts bt nime apply chuo cha uhasibu vp nitaweza kwl ?
 
Matokeo sio mabaya.
Try kusoma certificate ya U-ticha mwanangu
 
U tcha sawa nitakwnda bt nitapta hard comptn ktk ajira mana ningept v27 gvmnt ingeni spnsr ajira bt v29 natafta ajira mwenywe dats nikaamua ku apply crtfc chuo cha ushrka moshi crse ya microfinance management vp iko pouwa au ?
 
Iko poa also.. don giv up at all. Intake ya this yr watachukua marks za chininsana 7bu ya matokeo yalivo
 
Iko poa also.. don giv up at all. Intake ya this yr watachukua marks za chininsana 7bu ya matokeo yalivo
*thnx bra mana ktk jf kungekuwa na people like ur's nadhani 2ngekuwa na maendeleo mana humu ni majungu 2 na kuombeana dua mbaya mungu akubrk!!!
 
Back
Top Bottom