Angalia interview ya Kamala Haris jana kisha ujiulize ile Debate alipewa maswali ama hakupewa maswali kabla ya debate

Angalia interview ya Kamala Haris jana kisha ujiulize ile Debate alipewa maswali ama hakupewa maswali kabla ya debate

The Evil Genius

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2014
Posts
6,017
Reaction score
19,506
Toka Kamala Haris ateuliwe kua mgombea wa Urais Marekani na chama chake cha democrat, jana amefanya public interview ya 3, ya kwanza ilikua ya cnn ambayo alikua na mgombea mwenza wake, interview ilikua edited na scripted ndio ikarushwa ccn

Interview ya pili ilikua debate na Trump ya juzi ambayo kila mtu aliona kwamba Kamala alikua amepewa maswali kabla na pia akalindwa na moderators.

Sasa jana Kamala alifanya interview ambayo haikupangwa, yaani hakua amepewa maswali kabla, mwandishi alimshtukiza tubna kumuuliza maswali ya kawaida lakini majibu yake sasa😂.

Inasemekana chama chake hawataki afanye interview kwa sababu hajui anachoongea na wala hajui kujieleza, ndio maana interview zake ni za mchongo lakini jana akabananishwa. Wakati huo huo Trump kashafanya interview 36.

View: https://x.com/JesseBWatters/status/1834751823002939753?s=19
 
Trump hawezi kujenga hoja zaidi ya personal attack
Trump anauongo mwingi kwenye kila anachoeleza, trump ni mzungu mwafrika au mwarabu
 
Back
Top Bottom