ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Hio ndo five star prison Kwa week unakula kuku Mara nneSasa si nifugwe tu hapo asee
🤔🤔🤔sasa mbona wanaishi fresh kuliko mi nilioko hulu uraiyaniHio ndo five star prison Kwa week unakula kuku Mara nne
Mkuu hakuna kitu kizuri kama uhuru. Ukifungwa hapo Utafurahia tu wiki chache za mwanzo baadaye utaanza kumiss freedom nakutamani freedom. Bora adriz anayeshinda vibarazani kupiga umbea na waswahili wenzake huku kavaa msuli kuliko hao wafungwa kwenye hizo jela.Sasa si nifugwe tu hapo asee
Amnaa mkuu uhuru bila nauli ni kifungoMkuu hakuna kitu kizuri kama uhuru. Ukifungwa hapo Utafurahia tu wiki chache za mwanzo baadaye utaanza kumiss freedom nakutamani freedom. Bora adriz anayeshinda vibarazani kupiga umbea na waswahili wenzake huku kavaa msuli kuliko hao wafungwa kwenye hizo jela.
Miaka ya nyuma kidogo niliishi kwa shem yangu. Yani alikuwa akiweka soda chupa chache kwenye Friji tunazifakamia zote halafu anatumaind balaa lakini dada yetu alikuwa anatukingia kifua. Dada akaamua kusolve hili tatizo akaamua kila siku kununua kreti tano za soda nakuziweka kwenye Friji nakutuachia tunywe tunavyopenda. Baada ya siku moja tukakinai soda wala hatukutaka kuziona zilikuwa zinabakia kwenye Friji hadi zinaexpire.Huku kwetu watu wanaachiwa wanaenda kubaka au kuiba tena ili warudi kula ugali wa bure ukizijenga hizo gereza si itakuwa balaa.
Hii scenario kwa nchi yetu haiwezekani. Kwamba serikali ifanye raia wazoee maisha mazuri kwa kiwango cha kuona kulala gereza lenye tv, choo cha kuflash na AC ni kawaida?Miaka ya nyuma kidogo niliishi kwa shem yangu. Yani alikuwa akiweka soda chupa chache kwenye Friji tunazifakamia zote halafu anatumaind balaa lakini dada yetu alikuwa anatukingia kifua. Dada akaamua kusolve hili tatizo akaamua kila siku kununua kreti tano za soda nakuziweka kwenye Friji nakutuachia tunywe tunavyopenda. Baada ya siku moja tukakinai soda wala hatukutaka kuziona zilikuwa zinabakia kwenye Friji hadi zinaexpire.
Nyie ndio mnasema bora uzaliwe mbwa UlayaSasa si nifugwe tu hapo asee
Ma rais wa nchi za Afrika wanatakiwa kuwekwa hapo.Inaitwa Justice Center Leoben, iko Austria ni jengo ambalo lina mahakama pamoja na jela. Aliyeli -design architect anaitwa Josef Hohenssin likakamilika 2005.
Lina uwezo wa kuweka wafungwa 205 na limejaa wafungwa 205 lengo la kujengwa gereza zuri hivyo ni kusimamia Kwa vitendo na kuonyesha kwamba kila binadamu ana Haki Sawa, amezaliwa huru na anapaswa atendewe Kwa heshima.
View attachment 2957511View attachment 2957512
Hii itapromote uhalifuInaitwa Justice Center Leoben, iko Austria ni jengo ambalo lina mahakama pamoja na jela. Aliyeli -design architect anaitwa Josef Hohenssin likakamilika 2005.
Lina uwezo wa kuweka wafungwa 205 na limejaa wafungwa 205 lengo la kujengwa gereza zuri hivyo ni kusimamia Kwa vitendo na kuonyesha kwamba kila binadamu ana Haki Sawa, amezaliwa huru na anapaswa atendewe Kwa heshima.
View attachment 2957511View attachment 2957512
Lazima utakuwa unalipia kwenda hiyo jelaHio ndo five star prison Kwa week unakula kuku Mara nne