Angalia jinsi dawa za kuongeza ukubwa wa Makalio zilivyomfanya dada yetu huyu

Duh,heri dada zetu wa kichaga wanao baki na shape zao.
 
duh! ka msemo wa Kansiime huyu akienda zoo wanyama wataandamana kwa nini mnyama mwenzao anatembea huku wao wamefungiwa...

Pole kwa mdada lakini duh! alikua anatafta nini hasa, kalio amridhishe mwanaume? chizi,
 
Kutokujiamini ndo chanzo cha yote.
 
do! jinsi yalivyo yan hapo hawasumbui tn wanaopenda hy ki2 uk nyuma,ila namwonea huruma iwe fundxho kw wengne
 
Km ni fashion bongo uwa hazidumu kufikia mwaka au zaidi.....mianya ya meno ilikuwa fashion...sura ..maziwa madogo na mengine kibao mwenye kujua wakumbushe dada zetu...leo wanaume TUNATAMANI makalio makubwa ni msimu ACHA upite ukiwa na makalio yako ya kawaida ili fashion ikipita isikuache na madhara kwako!!!
 
Jamani acheni hasa wewe mdada
 
Mungu alituumba kwa makusudi kumkosoa kwa nini??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…