Picha ya siku nyingi hii. Ulikua Huna bundle siku zote hizo? Anyway tuku-brief yaliyojiri ukiwa Offline,
1. DP world wamepewa deal ya bandari,
2. Lema/Lissu wamesharudi toka ukimbizini,
3. Bei ya mafuta umefika 3,300,
4. Dotto Biteko ndio Naibu Waziri Mkuu,
5. Makonda ndio Naibu Mkuu.