Angalia orodha ya nchi 10 zenye uchumi mkubwa Afrika. Tunahitaji kujitafakari kama taifa

greater than

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2018
Posts
1,653
Reaction score
3,060
Katika makadirio ya mataifa yenye uchumi mkubwa barani Afrika kwa mwaka 2024,Taifa letu linashika nafasi ya 10.

Nimeweka orodha ya hizo nchi 10 na chanzo kikubwa cha uchumi wa nchi husika. Pia mwishoni nimeweka na idadi ya watu wa nchi husika
  1. AFRIKA KUSINI Dolla B 401,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,VIWANDA,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,59 Million
  2. NIGERIA 395,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,MAFUTA,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,218
  3. MISRI 358,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,VIWANDA,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,111
  4. ALGERIA 239,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,MAFUTA ,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,44
  5. ETHIOPIA 192,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,KILIMO ,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,123
  6. MOROCCO 157,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,VIWANDA ,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,37
  7. KENYA 115,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,KILIMO ,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,54
  8. ANGOLA 93,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,MAFUTA .......................................................35
  9. IVORY COAST 87,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,VIWANDA...................................................29
  10. TANZANIA 86,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,KILIMO............................................................67
Kwa ukanda wa Afrika mashriki, Ethiopia ana tuburuza, nchi isiyo na bahari na iliyokuwa kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe kwa zaidi ya mwaka.

Je, kama taifa tunakosea?

Chanzo cha GDP ni taarifa za IMF.
 
Jua CCM ni watu hao hao wa Tanzania kama walioko Chadema CUF tabia zao zinafanana isipo kua wanakula kwa zamu, tatizo la tanzania ni mfumo sio watu au chama.
Exactly mkuu,
Tanzania hata aje nani, kwa mfumo huu hata aje nani hakuna mabadiliko, shida ni mifumo. Na huu wa ccm ndio umeonyesha kufeli kwa kiwango kikubwa sana.
 
kinachofanya viwanda vije, hasa kwa tz ni miundombinu, kama hizo reli n.k. ukiwa na bandari, umezungukwa na nchi kadhaa kama sisi ukaunganisha infrustructure vizuri, watajenga viwanda kwako ili hao majirani wawe wateja wako pia. kwahiyo tuboreshe reli, barabara, na ufanisi wa bandari, upatikanaji wa umeme na reasonable tax.
 
Utawala mbovu wa rasilimali na lasilimali watu, sera mbaya, Elimu inayotolewa haindani na mazingila.
 
Katika makadirio ya mataifa yenye uchumi mkubwa barani Afrika kwa mwaka 2024,Taifa letu linashika nafasi ya 10.

Nimeweka orodha ya hizo nchi 10 na chanzo kikubwa cha uchumi wa nchi husika. Pia mwishoni nimeweka na idadi ya watu wa nchi husika
  1. AFRIKA KUSINI Dolla B 401,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,VIWANDA,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,59 Million
  2. NIGERIA 395,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,MAFUTA,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,218
  3. MISRI 358,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,VIWANDA,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,111
  4. ALGERIA 239,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,MAFUTA ,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,44
  5. ETHIOPIA 192,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,KILIMO ,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,123
  6. MOROCCO 157,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,VIWANDA ,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,37
  7. KENYA 115,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,KILIMO ,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,54
  8. ANGOLA 93,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,MAFUTA .......................................................35
  9. IVORY COAST 87,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,VIWANDA...................................................29
  10. TANZANIA 86,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,KILIMO............................................................67
Kwa ukanda wa Afrika mashriki, Ethiopia ana tuburuza, nchi isiyo na bahari na iliyokuwa kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe kwa zaidi ya mwaka.

Je, kama taifa tunakosea?

Chanzo cha GDP ni taarifa za IMF.
Libya?
 
Back
Top Bottom