Angalia picha hizi halafu toa maoni yako

CCM ni upumbavu
Hawa jamaa kila sehemu wanavuruga tu. Yaani wanatumia kila aina ya mbinu/ushawishi, ili tu kupandikiza mamluki wao. Na wakishamuweka tu, basi chama husika kinageuka na kuwa tawi la ccm.

Kwenye vyama vyote vya wafanyakazi, wameweka takataka zao! Huku kwa wafanyabiashara nako ndiyo hivi! Kwa wale wakulima wenzangu na mimi, ndiyo kabisaaa!!


Hovyo kabisa.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…