Angalia Picha ya kitu cheusi zaidi duniani

Angalia Picha ya kitu cheusi zaidi duniani

Ramsy Dalai Lama

Senior Member
Joined
Apr 5, 2021
Posts
156
Reaction score
554
Angalia picha hizi unaweza kufikiria kuwa picha hizi zimefanyiwa editing au photoshop si ndio?.
View attachment 2320246View attachment 2320247
Ikiwa unafikiria kuwa editing basi unakosea, hiyo kitu nyeusi inajulikana kama Vantablack na ndio kitu cheusi zaidi duniani, yani kiasi nyeusi sana hata ina absorbs mwanga ndani yake.

Vantablack sio rangi, kwasababu rangi huakisi mwanga lakini Vantablack huonyesha tu 0.035% ya nuru huku ikiwa ina absorbs (inachukua/ ama sijui tuseme inanyonya) 99.965% ya nuru/mwanga.
View attachment 2320251View attachment 2320250View attachment 2320249
Vantablack imetengenezwa na carbon nanotube ambayo hutengenezwa katika maabara na inahitaji sana special material kutengeneza kitu kama hicho ambacho huitwa Vantablack.
View attachment 2320248
Hii kitu mwanzoni ilitengenezwa kwa ajili ya NASA na ilikua ikitumika kwa matumizi ya kiufundi. Na pia hii ni moja ya experiment ilitokea kuwa ya kushangaza sana.
 

Attachments

  • vantablack-00002019-horizontal-large-gallery.jpg
    vantablack-00002019-horizontal-large-gallery.jpg
    24.9 KB · Views: 42
Hawa wana jambo lao na watu weusi, basi tu kutafuta kila kitu kiwe zaidi yetu hata uweusi wenyewe.....
 
Back
Top Bottom