Francis Mawere
JF-Expert Member
- Nov 17, 2015
- 958
- 831
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yohana 4 haipo
Ipo BroYohana 4 haipo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]*Jihadharini* na wachapaji wa kadi za harusi. Hakikisha unasoma maandishi yaliyochapwa kabla ya kadi kuchapwa na kusambazwa!
Mchapaji aliombwa aweke 1 Yohana 4:18 katika kadi ya harusi lakini mchapaji kwa makosa aliweka Yohana 4:18.
1 Yohana 4:18 panasema, "Katika pendo hakuna hofu, lakini pendo lililo kamili huitupa nje hofu…"
Lakini Yohana 4:18 tunasoma, "Kwa maana umekuwa na waume watano, naye uliye naye sasa siye mume wako."
_MKE MTARAJIWA AKAZIMIA HAPA, TUNAMPEPEA_
Ipo we angaliaNgoja niangalie tena
Sasa unaweza KuchekaNimeiona mkuu
Ipo ni Injili ya YohanaYohana 4 haipo
[emoji39] [emoji23] [emoji23]Sasa unaweza Kucheka
Ha ha ha ha haaaaaa ha Sa unamaanisha nini hapoMawere=Shirima
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sasa unaweza Kucheka
Ha ha ha haaa Ubishi tuuu umemjaa huyu jamaaaa.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Access granted