mosabiy JF-Expert Member Joined Jul 3, 2017 Posts 2,521 Reaction score 1,927 Dec 8, 2018 #21 Beira Boy said: Hahahaaaa unajua wewe jamaa nachekaga sana koment zako zimekaa kibabe sana. Kwahiyo hutak mazoea siyo Click to expand... Jamaa anapenda kila akiweka uzi basi watu wamuunge mkono atakavyo yeye, ukimsifia basi anakupa High IQ
Beira Boy said: Hahahaaaa unajua wewe jamaa nachekaga sana koment zako zimekaa kibabe sana. Kwahiyo hutak mazoea siyo Click to expand... Jamaa anapenda kila akiweka uzi basi watu wamuunge mkono atakavyo yeye, ukimsifia basi anakupa High IQ
Mama_Aheshimiwe JF-Expert Member Joined Feb 6, 2014 Posts 2,746 Reaction score 4,165 Dec 8, 2018 #22 Basi unajiona bonge la mtu asiyefikika!!! Kuna laana nyingine za ukoo zinatesa watu sana kama wewe GENTAMYCINE said: Wewe ' Jamaa ' mbona ' unajipendekeza ' sana Kwangu na Kulazimisha kutaka ' Kuzoeana ' nami? Click to expand...
Basi unajiona bonge la mtu asiyefikika!!! Kuna laana nyingine za ukoo zinatesa watu sana kama wewe GENTAMYCINE said: Wewe ' Jamaa ' mbona ' unajipendekeza ' sana Kwangu na Kulazimisha kutaka ' Kuzoeana ' nami? Click to expand...
ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 48,052 Reaction score 104,677 Dec 8, 2018 #23 Mleta mada bwana, hiki nini sasa? Kama wewe "mswahili" una majina hayo kwenye simu yako unadhani kila mtu anayo?
Mleta mada bwana, hiki nini sasa? Kama wewe "mswahili" una majina hayo kwenye simu yako unadhani kila mtu anayo?
Interest JF-Expert Member Joined Apr 11, 2015 Posts 3,434 Reaction score 7,072 Dec 8, 2018 #24 Is this a joke?