Angalia: Ukifanya hivi, hakuna atakayepiga chabo password yako unapoitype

Angalia: Ukifanya hivi, hakuna atakayepiga chabo password yako unapoitype

Sinkala

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2008
Posts
1,773
Reaction score
688

sinkala-albums-sinkala-picture620-a.jpg

sinkala-albums-sinkala-picture621-b.jpg

sinkala-albums-sinkala-picture622-c.jpg

sinkala-albums-sinkala-picture623-d.jpg

Last edited:
Huyu atakuwa yupo ugaibuni anasuburiwa na depression ndiyo ugonjwa unawakumba wengi huko siku hizi.
 
laptop-privacy-1.jpg

Warmth And Privacy While Using Your Laptop
 
Wewe mwehu nini?
Kamjuge has no status.
Member

Join Date: Wed Aug 2009
Posts: 18
Thanks: 1
Thanked 4 Times in 4 Posts
Rep Power: 0

Sikulaumu sana kwa kuwa ndo kwanza mgeni na unajifunza forums za humu !! Tatizo huwa mnakurupuka kusoma bila kuangalia thread imo katika forum gani, matokeo yake unareply post bila kujua umo wapi! Anyway, karibu JF ujifunze mambo, ukishajua ndo uanze kuweka mabandiko.
 
Last edited:
Mkuu, avatar yako imetulia! Nikiitazama siachi kucheka. Ni ya aina yake. Hongera.
 
Sikulaumu sana kwa kuwa ndo kwanza mgeni na unajifunza forums za humu !! Tatizo huwa mnakurupuka kusoma bila kuangalia thread imo katika forum gani, matokeo yake unareply post bila kujua umo wapi! Anyway, karibu JF ujifunze mambo, ukishajua ndo uanze kuweka mabandiko.
Msamehe ndugu yako huyo.
 
Wewe mwehu nini?

Uwehu gani tena jamani, wakati tundiko hilo ni babu kubwa

namna hiyo?...!! Nadhani huyo mdada kwenye picha

anaangalia ya majamboz kikubwa, tehe tehe..!

Mi nataka niinyonye hiyo iwe ni AVATAR yangu kwa ruksa

yako Mkuu Sinkala!

Imetulia sana hiyo, achana na wakuja huyo sijui

ka`nani...Kamuhabwa, no...Kashaija..no...Kamjuge!
 
bi dada ni mchoyo sana mana huenda kawa anaangalia mavitu's halafu hataki wenzake nao wafaidi
 
Back
Top Bottom