Angalia umasikini unavyotengenezwa kupitia muda

Angalia umasikini unavyotengenezwa kupitia muda

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2011
Posts
7,872
Reaction score
9,263
Wazungu kwanza tukubali ni watu wajanja sana na IQ zao sio za kawaida yaani kwanza tu kutitawala hiyo ni kigezo tosha. Wazungu walikaa chini wakaona moja ya njia za kufanya watu hasa Waafrica wawe masikini zaidi ni kugawanya muda.

Waligawa vipi?
Masaa 24 wakagawa kwa 3
24/3=8
wakapata masaa 8.

Wakasema hivi.
Lala angalau masaa 8 kwa siku
Pumzika angalau masaa 8 kwa siku
Fanya kazi angalau masaa 8 kwa siku.

Sasa kama Una miaka 75 au ukafika miaka 75 maana yake ni kwamba.
UMELALA MIAKA 25
UMEPUNZIKA MIAKA 25
UMEFANYA KAZI MIAKA 25

Sasa chukulia kwamba
Shule ya msingi umesoma miaka 7
Secondary kidato cha 4 miaka 3
Kidato cha 6 miaka 2
Chuo kikuu miaka 3
Masters kama utaenda miaka 2
Jumla miaka 17 chukua 25 ya kazi toa 17 utapata miaka 8.

Hii ndo sababu ya wasomi kufa masikini ndo sababu ya Maprofesa pamoja na kustafu wanafanya kazi kwa mkataba. Haya masaa walitengenezewa watu wavivu hasa Africa. Wao hawayatumii kamwe nenda Japana nenda China.
Sasa kwa staili hii kuna tulio kuja Dunuani kulalal na kupumzika na kusoma then end of story

By Chasha Farming

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi dunia ya leo kuna watu wanaolala masaa 8 kweli?

Mbona wengine hata masaa manne hatuyapati?
Wanalala tena sana, Africa. kama hulali hayo masaa maana yake unatoka kazini unaelekea nyumbani na utafika saa 4 au 5.
Asilimia kubwa ya watu wanalala saa 2 wanaamka saa 12 kwenda kazini hilo ndo kundi kubwa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyohiyo unayoita miaka 8 kuna mwenzio kaajiriwa private nzuri, anazikamua kwa dolari mwisho wa mwezi na anamake life ya kutosha duniani,
Tatizo sio muda, KAULIZE TU KAMA MSHAHARA WAMEONGEZA JULAI HII AMA VIPI?
 
Nani akaukize?

Mimi silipwi na mtu mmoja nalipwa na watu wengi yaani wateja. Mishahara mwisho wa mwezi unaujua wewe sijui mimi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyohiyo unayoita miaka 8 kuna mwenzio kaajiriwa private nzuri, anazikamua kwa dolari mwisho wa mwezi na anamake life ya kutosha duniani,
Tatizo sio muda, KAULIZE TU KAMA MSHAHARA WAMEONGEZA JULAI HII AMA VIPI?
Kulipwa kwa Dola ndo nini ndo utajiri? Hahahaa pale Arusha wakati wa UN wati walikuwa wanalipwa kwa USD where are they now?

Ishu sio kulipwa ishu je wewe masaa 24 unayatumia vipi kwa kazi zako au kazi za wenzako?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kulipwa kwa Dola ndo nini ndo utajiri? Hahahaa pale Arusha wakati wa UN wati walikuwa wanalipwa kwa USD where are they now?

Ishu sio kulipwa ishu je wewe masaa 24 unayatumia vipi kwa kazi zako au kazi za wenzako?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu naweza kuja PM unishauri zaidi? Mara nyingi nimekua mfuatiliaji mzuri wa mada zako; naona kila mara unani-tourch kwa kiasi kikubwa mkuu.....
 
Sasa unatafuta vita wewe sisi huwa hatutaki kusikia vitu hivi,

Sisi tuletee story za ngono na udaku,

Sisi tuletee discussion za sizonje na lissu,

Sisi tuletee story za wema kaachwa na diamond anamchukua zari na kamzalia watoto wawili nillan na fiffah,

Mkuu tafadhali sana tena jiheshimu sisi tunataka kujua kiba na mondi nan mkali,

Mkuu hivi una akili kweli kutuambia hayo mambo yako kwani umeshindwa hata kutuma picha za vigodoro kina dada wanamwaga radhi,

Sijui umetuonaje mkuu mpaka unaleta story zako hizo sisi tunataka kusikia kama ommy dimpoz ni shoga au vip,

Hivi kwanini hukuleta hata story ya mimba ya wema kutoka tena si walikuwa mapacha eee hiyo hujaona au dharau,

Bas acha yote huwezi kuongelea hata ivan don na kuzikwa na pesa,

Anyway hayo yote juu umeshindwa lalamikia basi hata mitandao ya simu kwamba bando hazitoshi hatuwezi tena kustream online video za ngono

Mkuu bhana unaboa sana kutuletea vitu tusivyotaka kusikia
 
Sasa unatafuta vita wewe sisi huwa hatutaki kusikia vitu hivi,

Sisi tuletee story za ngono na udaku,

Sisi tuletee discussion za sizonje na lissu,

Sisi tuletee story za wema kaachwa na diamond anamchukua,

Mkuu tafadhali sana tena jiheshimu sisi tunataka kujua kiba na mondi nan mkal

Mkuu hivi una akili kweli kutuambia hayo mambo yako kwani umeshindwa hata kutuma picha za vigodoro kina dada wanamwaga radhi,

Sijui umetuonaje mkuu mpaka unaleta story zako hizo sisi tunataka kusikia kama ommy dimpoz ni shoga au vip,

Hivi kwanini hukuleta hata story ya mimba ya wema kutoka tena si walikuwa mapacha eee hiyo hujaona au dharau,

Bas acha yote huwezi kuongelea hata ivan don na kuzikwa na pesa,

Anyway hayo yote juu umeshindwa lalamikia basi hata mitandao ya simu kwamba bando hazitoshi hatuwezi tena kustream online video za ngono

Mkuu bhana unaboa sana kutuletea vitu tusivyotaka kusikia
Hahahaha Mkuu Umetisha.
 
Back
Top Bottom