Angalia utofauti wa wabunge wa nchi A na B, jinsi wanavoanza hotuba zao bungeni

Nchi b mtoa mada ,au umeamua kutuona sisi mambwiga tuπŸ€”πŸ€”
 
Hiyo nchi A si ndio ukiongea ukweli au madhaifu kwa lengo la kuboresha unapotezwa!!!!

Serikali yao haipendi kabisa kukosolewa Hata kama ni Kwa haki na ukweli. Inapenda mapambio sana japo inauwezo Mdogo sana wa kuboresha maendeleo, kujenga choo Cha shule tena Kwa msaada na hisani ya watu wa ....... Kwao inatoka front page.
 
Dr Musukuma!
 
Wenzetu kenya Speaker ameruhusu wajadili kutekwa na kupotezwa wananchi wao ila kwetu BETINA RANGO amezuia wabunge wasijadili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…