Angalia Utongozaji wa Siku Hizi



mh kazi kweli kweli!!!
 
eh!!hiyo kali lakini haileweshi..lakini wengine hatudanganyiki kwa VX wala gari aina yoyote kwani tumezichezea hadi tumechoka.s:clap2::laugh:
 
Zamani ilikuwa mtu unamtongoza mita elfu mbili toka home ila cku hizi vijana hawana habaari ni poison tu everywhere.........
 
Huyu dereva tu huoni kitambulisho kifuani kwake.

Si nafuu kama ni dereva wa moja wa magari haya wengine wanawadanganya mabinti kwa kuwasimamisha karibu na magari yaliyo packiwa wakati wenyewe magari na madereva wao hawapo karibu.
 
eh!!hiyo kali lakini haileweshi..lakini wengine hatudanganyiki kwa VX wala gari aina yoyote kwani tumezichezea hadi tumechoka.s:clap2::laugh:

kwa hiyo sasa hivi unatumia means gani ya usafiri?
 
Binti kama ameishamwambia mchizi niangushage tu si dhambi zako mwenyewe....
 
ukiona mtoto wa kike ameanza kung'ata vidole ujue kazi kwisha..:clap2:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…