Angalia vizuri hiyo picha kisha nijibu umeona kitu gani?shauri yako lakini

haionekani nimekodoa labda itatokea lakini wapi
 
oooh nimeiona vyema lakini jamaa na yeye si binadamu tu kuwa Prezidaa sio sababu ya kushindwa kutambua hiki kizuri hiki kibaya teh teh teh
 
Mi nimeona mfadhaiko,huyu jamaa kadata kabisa na hako kamgongo orijino,je kingekuwa chineese one?
 
si ni Papa John Paul II mmmh sijuwi Brnadikto VI anapambana na Holy Sirit! Ati?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…